
DKT. MPANGO AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza kuangaliwa upya kwa sheria zinazohusu uhifadhi wa mazingira ili kuliwezesha Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Halmashauri kuwa na nguvu ya kuchukua hatua kali dhidi ya uharibifu wa Mazingira. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo wakati akifungua Kongamano la Wadau…