Admin

Demokrasia yetu kwa hisani ya mabeberu

VIONGOZI wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejipambanua kuwa mabingwa wa siasa za masikini jeuri: mara hatutaki fedha za mabeberu, mara tunataka msaada wa mabeberu. Anaandika Mwandishi Wetu… (endelea) Mmoja wa watu waliokuwa watetezi wa safari za nje za Jakaya Mrisho Kikwete alizokuwa akifanya kila uchao wakati wa awamu yake ni aliyekuwa Waziri wa…

Read More

Chadema jimbo la Morogoro Mjini yafanya uchaguzi

Morogoro. Chama cha Demockasia na Maenendeo (Chadema) Jimbo la Morogoro mjini leo Mei 31, kinafanya uchaguzi wa viongozi wa jimbo na wa mabaraza matatu ya chama hicho kwa miaka mitano ijayo. Mabaraza hayo yanayofanya uchaguzi ni Baraza la vijana (Bavicha), Baraza la Wazee (Bazesha) na Baraza la Wanawake (Bawacha). Mjumbe wa Kamati Kuu na Kamanda…

Read More

Tambwe amvulia kofia Aziz KI

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameonyesha kushtushwa na kiwango bora cha kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki alichokionyesha msimu huu na kuifikia rekodi yake ya mabao 21 aliyoiweka misimu minane iliyopita. Tambwe aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara akiichezea Yanga msimu wa 2015/2016 alipofunga mabao 21 na rekodi hiyo imedumu kwa…

Read More

MAKAMU WA RAIS AAGIZA SHERIA YA NEMC IFANYIWE MABORESHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira nchini (NEMC) Dkt. Immaculate Semesi wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam tarehe…

Read More

Kobbie Mainoo amesimamisha mazungumzo ya mkataba wa Man Utd.

Kobbie Mainoo yuko tayari kusaini mkataba mpya na Manchester United – lakini anataka kusimamisha mazungumzo hadi baada ya Euro. Kiungo huyo amefurahia kampeni ya Mashetani Wekundu, akianza kwa mara ya kwanza Oktoba kabla ya kujiimarisha na kufunga katika fainali ya Kombe la FA akiwa njiani kutwaa kombe hilo kwenye Uwanja wa Wembley. Juhudi zake uwanjani…

Read More

Kiongozi wa kuandaa Katiba mpya CCM hajazaliwa

HABARI kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo tayari kukaa meza moja ya mazungumzo na vyama mbalimbali kwa lengo la kufanya mjadala wa Katiba pamoja na maridhiano ni mgeni pekee wa siasa za Tanzania masikio yake yanaweza kusisimkwa na kuamini, maana kiongozi wa kuandaa Katiba Mpya kutoka chama hicho hajazaliwa. Anaandika Bupe Mwakiteleko … (endelea). Wamewachezea…

Read More

Ubunifu wa UDOM wamkosha Majaliwa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu.  Waziri Mkuu Kssim Majaliwa, akieleza jambo wakati wa akiwa kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa kufunga…

Read More

WATOTO WAKIUME WAANGA WAKUBWA KUTUMIKISHWA KAZI KWENYE JAMII

Mwandishi wetu. MTANDAO wa kupinga utumikishaji watoto Tanzania, umesema watoto wa kiume ndio wahanga wakubwa wa kutumikishwa kazi katika jamii. Pia umesema watoto hao wamekuwa wakitumikishwa zaidi katika Mkoa wa Simiyu, Shinyanga na Mwanza kutokana na kuwa na shughuli nyingi za kiuchumi. Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam leo Mei 30,2024 na Mwenyekiti wa bodi…

Read More