
Wanafunzi wa TIA Watoa Kongole Kwa Usimamizi wa Bunifu Kutoka Chuo
Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Klaivet Steven akizungumza kuhusiana na ubunifu wake wa kusaidia mtu kupata makazi ya kupanga katika mikoa yote nchini.Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Paul Reuben akizungumza kuhusiana na ubunifu zao la Korosho mteja kupata korosha moja kwa moja kutoka kwa katika mfumo.Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika Banda la…