
Spika Bunge la Uganda apigwa marufuku kukanyaga Marekani
Kampala. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among ni miongoni mwa vigogo watano nchini humo walipigwa marufuku kuingia nchini Marekani kwa madai ya kuhusika na ufisadi na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Matthew Miller leo Mei 30, 2024 imesema, vigogo hao wanatuhumiwa…