
AKU Yataka Vijana Kujiunga Katika Shahada ya Uuguzi
[8:37 PM, 5/30/2024] Chalila Tg: AKU yataka vijana kujiunga katika shahada ya Uuguzi Na Chalila Kibuda, Michuzi TV TangaCHUO Kikuu cha Aga Khan Tanzania (AKU) kimesema kuwa vijana kutumia fursa ya kujiunga na na Chuo Kikuu cha Aga Khan kusoma shahada ya kwanza ya Uuguzi kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha sita kwa mwaka wa Masomo…