
Majaliwa awaondoa hofu wamiliki wa hati za kimila
Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaondoa hofu Watanzania waliomiliki hati za kimila akisema zipo kisheria kama zinazotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 30, 2024 wakati wa maswali ya hapo kwa papo alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Busekelo, Atupele Mwakibete. Mbunge huyo amesema hati…