
Daladala 20 kuongeza nguvu Barabara ya Morogoro
Dar es Salaam. Ili kukabiliana na tatizo la usafiri kwa wakazi wa Mbezi wanaokwenda maeneo ya Mjini kupitia Barabara ya Morogoro, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini(Latra), imeruhusu kurejeshwa kwa daladala 20. Daladala hizo ambazo kila moja inapaswa kuwa na uwezo wa kubeba abiria 40, zitawawezesha wakazi wa Mbezi na maeneo ya jirani kupata usafiri kwa…