
Mji wa Rafah waendelea kushambuliwa na Israel – DW – 30.05.2024
Wakati Israel ikizidisha mashambulizi yake huko Rafah, Msemaji wa Jeshi la nchi hiyo Daniel Hagari ametangaza kuwa Israel imechukua kile alichokiita “udhibiti wa kiutendaji” wa eneo dogo la mpakani kati ya Palestina na Misri, na kwamba wamegundua karibu mahandaki yapatayo 20. Misri, ambayo imekuwa mpatanishi wa muda mrefu katika mzozo huo na kwa sasa imekuwa…