
NAIBU WAZIRI PINDA ATAKA UTUNZAJI HATI MILIKI ZA ARDHI KUEPUKA UDANGANYIFU
Na Munir Shemweta, MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati Milki za ardhi kuhakikisha wanazitunza ili kuepuka udanganyifu unaoweza kufanyika kutoka watu wasio waaminifu. Mhe. Pinda ametoa kauli hiyo tarehe 29 Mei 2024 wakati wa hafla ya uzinduzi wa wiki ya Mazingira iliyoambatana na ugawaji…