
Simba ilivyopoteza mabilioni ya CAF
SIMBA iko chimbo ikiendelea kusuka kikosi chake kimya kimya baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2023/2024 kwa kupoteza mataji sambamba na mabilioni ya pesa ikiwemo yale ya CAF. Ulikuwa ni msimu dume kwa Wekundu wa Msimbazi hao wakimaliza katika nafasi ya tatu kwenye ligi, kuishia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, kuondoshwa hatu ya 16…