
Rais Samia ateua watedaji Tume ya Mipango
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, akiwamo Dk Mursali Milanzi, aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia masuala ya Mipango ya Kitaifa. Kabla ya uteuzi huo, Dk Milanzi alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mipango ya Kitaifa katika Tume ya Mipango. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa…