
Raia wa Afrika Kusini washiriki uchaguzi Mkuu – DW – 29.05.2024
Chama cha ANC ambacho kinaongozwa na Rais Cyril Ramaphosa kinakabiliwa na shinikizo kubwa. Rais Ramaphosa ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho kitaifa, alipiga kura katika eneo alilokulia la Chiawelo lililopo kitongoji maarufu cha Soweto, jijini Johannesburg, amesema amefurahishwa na namna zoezi la upigaji kura linavyokwenda. Rais wa zamani na kiongozi wa Chama cha MK, Jacob…