
Dortmund watafanya sherehe kubwa baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa na Jurgen Klopp amealikwa.
Borussia Dortmund watafanya karamu ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa, bila kujali matokeo huko Wembley na wamemwalika kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp. Kocha huyo wa Ujerumani alitumia miaka saba kuinoa Dortmund, na aliiongoza timu hiyo kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya mwisho mwaka 2013. Mchezo huo pia ulikuwa Wembley…