
SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA
Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni Jijini Dodoma Amesema wastani wa mchango wa Sekta katika Pato la Taifa katika kipindi cha miaka 10…