Admin

Briteni’s Got Talent ililazimika kusitisha onyesho huku shamrashamra za umati zikiwazuia majaji.

Britain’s ot Talent ilikumbana na usumbufu usiotarajiwa wakati wa matangazo yake ya moja kwa moja huku muhtasari wa majaji ulipopokelewa na shangwe kutoka kwa umati ambao ulizima sauti zao. Onyesho maarufu la vipaji la Uingereza, Britain’s Got Talent (BGT), ambalo linajulikana kwa kugundua na kukuza vitendo mbalimbali vyenye vipaji vya kipekee, lilipata usumbufu usiotarajiwa wakati…

Read More

Bocco awaaga Simba, mastaa watia neno

BAADA ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka wazi kuwa huu ndiyo mwisho wake wa kuonekana ndani ya kikosi hicho akicheza. Bocco kupitia mtandao wake wa kijamii ameandika: “First and Last thanks Lion” akiwa na maana kwamba ni mwanzo…

Read More

Kikosi bora cha Mwanaspoti Ligi Kuu Bara 2023-24

PAZIA la msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu Bara limehitimishwa rasmi baada ya vita ya vuta nikuvute huku kila timu ikivuna ilichopanda. Yanga imetwaa ubingwa wa tatu mfululizo, Azam imemaliza ya pili na kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku Simba iliyomaliza ya tatu na Coastal Union (4) zitacheza Kombe la Shirikisho Afrika, ambalo…

Read More

PROFESA PALLANGYO ATEMBELEA MABANDA MBALIMBALI , MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akipata maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa  Fedha (IFM)wakati alipotembelea Banda la IFM kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa…

Read More

Mwalimu Agundua Ubunifu wa Kifaa cha Kuongeza Usikivu

*Ugunduzi umetokana na yeye mwenyewe kuwa na changamoto ya usikivu hafifu Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV TangaMWALIMU wa VETA Kigoma Innocent Maziku agundua kifaa cha kuongeza usikivu kutokana na yeye mwenyewe kuwa na usikivu hafifu. Maziku amebainisha hayo katika Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ya Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja…

Read More