Admin

DK.SAMIA ATAJA MAFANIKIO LUKUKI UTEKELEZAJI ILANI, AAHIDI MAKUBWA ZAIDI IRAMBA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Singida MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ameendelea kuchanja mbuga katika mikutano ya kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu ambapo amehutubia maelfu ya wananchi wa Iramba mkoani Singida. Akizungumza leo Septemba 10,2025 katika mkutano wa kampeni uliofanyika wilayani Iramba mkoani Singida, Dk. Samia amesema  baada ya kutekeleza Ilani…

Read More

MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA ATOA RAI VIJANA IRAMBA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Na Said Mwishehe,Singida. MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu amesema moja ya ahadi ya Serikali kwa wananchi wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida ilikuwa ni uanzishwaji soko la madini ambalo limeshaanzishwa eneo la Shelui hivyo ametoa rai kwa  vijana kuchangamkia fursa. Dk.Samia ameyasema hayo leo Septemba 10,2025 alipokuwa akihutubia maelfu ya wananchi…

Read More

Mfahamu Twalib Kadege Spidi Mperampera hadi Ikulu

Miaka 10 iliyopita, Taifa lilipokuwa linauelekea  uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, aliibuka na kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” iliyobeba tafsiri ya maono yake ya kuwafanya Watanzania wafanye kazi bila lelemama. Mwaka 2020, mgombea urais wa Chama cha The United People’s Democratic Party(UPDP), Twalib Ibrahim…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Twalib Kadege Spidi Mperampera hadi Ikulu