
LALJI FOUNDATION YAFADHILI KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KASULU
Wananchi na wakazi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamejitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya ya Kasulu kupata huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma Maweni, ambao wamepiga kambi ya siku nne mfululizo. Wakizungumza wananchi hao wameiomba serikali na Taasisi binafsi kuwa na…