
Mabadiliko ya tabianchi yalivyochochea majani vamizi nyanda za malisho
Arusha/Manyara. Safari kutoka Arusha hadi Kata ya Terrat wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, ilichukua takribani saa mbili na nusu, licha ya umbali wa kilomita 84 tu. Barabara ilikuwa mbovu na yenye vumbi jingi. Maeneo haya yanakaliwa na jamii za wafugaji. Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Simanjiro ni…