
TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA MASHARIKI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika Mashariki, Bi. Vivienne Yeda (hayupo pichani), walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Benki hiyo, kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya…