
KARIBU BANDA LA NBAA JIJINI TANGA KUPATA ELIMU YA UHASIBU NA UKAGUZI
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inaendelea kutoa elimu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa Mwaka 2024 yanayoendelea katika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Popatlal jijii Tanga ambapo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amefungua rasmi Maadhimisho hayo. Akizungumza wakati…