
Baraza la usalama laitisha kikao cha dharura kujadili Rafah – DW – 28.05.2024
Shambulizi hilo lilisababisha moto mkubwa katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina. Israel kupitia waziri mkuu Benjamin Netanyahu imesema inachunguza tukio hilo ililoliita“ajali ya kusikitisha” na athari zake kwa raia. Jeshi la Israel lilisema shambulizi hilo la Jumapili usiku kusini mwa Rafah liliwalenga na kuwauwa maafisa wawili waandamizi wa Hamas lakini pia likasababisha moto ambao Wapalestina…