
Tunachunguza athari za shambulio la Rafah, Gaza – DW – 27.05.2024
Jeshi la Israel limesema hayo baada ya taarifa ya Wizara ya afya na idara ya Ulinzi Gaza inayoongozwa na Hamas kuripoti kuwa watu arobaini na tano wamekufa kufuatia mashambulizi ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi, yaliosababisha moto mkubwa. Msemaji wa serikali ya Israel Avi Hyman amesema kwamba wanachunguza mkasa huo kujua nini hasa kilitokea, huku…