
GGML inavyowezesha watu wenye ulemavu Geita
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KATIKA mazingira ya kupendeza ya Mkoa wa Geita, iko habari njema yenye kutia matumaini kwa waliokata tamaa na pengine kutengwa na jamii. Shujaa wa habari hii ni Mgodi wa Dhahabu wa Geita, kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki Jimbo la Geita na Baraza la Dhahabu duniani…