
WANANCHI JIMBO LA MOROGORO KUSINI MASHARIKI WAPATIWA MITUNGI 800 YA ORYX GAS
Na Mwandishi Wetu, Ngerengere MITUNGI 800 ya gesi ya Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ikiwa na makiko yake, imetolewa bure kwa wananchi wa Jimbo Morogoro Kusini Mashariki kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mitungi hiyo imetolewa kwa ushirikiano wa Kampuni ya Oryx na mbunge wa…