
Marufuku mikopo kausha damu wilayani Mbogwe
Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Bi. Sakina Mohamed amepiga Marufuku Mikopo umiza katika wilaya yake kwa madai imekuwa haiko kisheria kutokana na Akina Mama wengi kulizwa kwa kuongezwa riba zisizokuwa na lengo la Kumnyanyua mwanamke kiuchumi. Akizungumza katika Hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke na Samia wilayani humo Sakina amesema kumekuwepo na Kesi nyingi…