
Baraza la Madiwani Mtwara Mikindani labatilisha umiliki ardhi ya mbunge
Mtwara. Baraza la Madiwani Manispaa ya Mtwara Mikindani, limebatilisha uhalali wa umiliki wa kiwanja katika eneo la Shangani Mashariki linalotajwa kumilikiwa na mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Mtenga baada ya kamati ya kudumu ya mipango miji, ardhi na ujenzi kujiridhisha kuwa eneo hilo ni mali ya halmashauri hiyo. Akitoa maagizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa…