
Hii hapa namna ya kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi wa nyumbani
Kutokana na hali ya maisha kubadilika na kufanya wazazi wote wawili, yaani baba na mama kulazimika kufanya kazi au kwenda kazini, jukumu la malezi ya watoto majumbani limebakia kwa kiasi kikubwa mikononi mwa wafanyakazi wa ndani, maarufu kama “house girls”. Jambo hili siyo tu limepunguza kwa kiasi kikubwa ukaribu wa watoto na wazazi wao, bali…