Admin

Aziz KI: Ishu ya mkataba mpya nawaachia Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI amesema kuhusu suala la kuongeza mkataba mpya ishu hiyo anaichia timu hiyo ambayo ameitumikia kwa msimu wa pili. Aziz KI hadi sasa analingana mabao na Feisal Salum kwenye vita ya ufungaji katika Ligi Kuu Bara kila mmoja akiweka kambani mabao 18. Akizungumza baada ya timu hiyo kukabidhiwa Kombe la Ligi…

Read More

Mahakama yawaruhusu Kitilya, Shose na Sioi kupinga makubaliano na DPP

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imewaruhusu Shose Sinare, Harry Kitilya na Sioi Solomon kupinga hukumu iliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Mahakama imewaruhusu kufungua shauri la maombi, kuiomba Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi itengue hukumu yake   iliyotokana na kukiri kwao makosa kutokana na makubalino (plea bargaining),…

Read More

SERIKALI KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIKA NA MVUA-MAJALIWA

-Asisitiza mpango wa Serikali wa kukuza sekta ya kilimo WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kurejesha miundombinu yote ya barabara zilizoathiriwa na mvua zilizonyesha nchini. Amesema hayo leo (Jumamosi Mei 25, 2024) alipokagua daraja lililopo katika kijiji cha Nambilanje ambalo limeharibika kutokana na mafuriko. Daraja hilo linaunganisha Wilaya za Liwale na Ruangwa….

Read More

Fei Toto awahenyesha mashabiki wa Yanga kwa Mkapa 

WAKATI Yanga ikiwa uwanjani ikipambana na Tabora United, mashabiki wa timu hiyo walikuwa kwenye presha kubwa iliyotokana na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Presha ya mashabiki wa Yanga ilitokana na kufuatilia kwao mchezo wa Azam FC na Kagera Sugar uliokuwa unapigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex,  ambao Fei Toto alikuwa tayari amefunga mabao mawili….

Read More

Wanolewa bongo mtandao kwa vijana ukizinduliwa

Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu, mawaziri na wabunge wamewafunza vijana namna ya kujitambua na kupambania fursa za uchumi, uongozi na maisha. Hayo yakifanyika, Serikali imetangaza kuanzisha vituo maalumu vya uatamizi kwa vijana. Waliotoa mafunzo hayo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi; Waziri wa…

Read More

SWAHIBA WA NYERERE APONGEZA UONGOZI WA SAMIA, AKITIMIZA MIAKA 99

Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia salam za pongezi kutoka…

Read More

Yaliyojiri mzunguko wa 29 Ligi Kuu Bara

Yanga imekabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa staili ya aina yake kwa kombe hilo kushushwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana kwa chopa, tukio ambalo halikuwahi kufanyika katika ligi hiyo misimu iliyopita, huku ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United. Tukio hilo hapana shaka ndilo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu…

Read More