NENO KWA NENO UJUMBE MZITO WA DK.BASHIRU KWA WATANZANIA KUHUSU RAIS SAMIA
“Niwape ushuhuda wa pili kiongozi wetu huyu alionesha umakini, utulivu na ujasiri mpaka tukavuka” Na Said Mwishehe, Michuzi TV KWA mara ya kwanza Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Cha Mapinduzi(CCM) na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Bashiru Ally amevunja ukimya kwa kutoa ya moyoni baada ya kuwa kimya kwa miaka minne bila kupanda katika majukwaani. Dk.Bashiru…