
MBUNGE ABOOD ATAKA WANAHABARI KUELEZA YANAYOFANYWA NA DKT.SAMIA
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Dokta Abdulaziz Abood amewataka waandishi wa habari mkoani Morogoro Kutumia kalamu zao vizuri kwa kuandika masuala mbalimbali yatakayo leta matokea chanya nchini. Mhe. Mbunge amesema hayo wakati akihojiwa na kituo hiki kuhusu mtazamo wake uhuru wa vyombo vya habari nchini. ambapo amesema wanahabari wananafasi kubwa Kuhamasisha masuala mbalimbali…