
NBAA YAWAFIKIA TANGA – MICHUZI BLOG
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inawakaribisha wananchi kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, ujuzi na ubunifu mwaka 2024 yenye kauli mbiu isemayo “Elimu, ujuzi na ubunifu kwa uchumi shindani” yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Akizungumza na Michuzi Blog, Afisa Uhusiano na Mawasiliano Magreth Kageya amesema wanatoa…