
Kikwete: Chaguzi chanzo migogoro Afrika
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema miongozi mwa sababu za kuwepo kwa migogoro kwa nchi za Afrika ni kutozingatiwa kwa miongozo ya uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki. Kikwete ameyasema hayo leo Mei 25, 2024 jijini Dar es Salaam katika mjadala uliokuwa sehemu ya mkutano wa maadhimisho…