
RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki ukiimbwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na…