Admin

Mlandege yanyooshwa, Mafunzo yabanwa Zenji

NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard Rock katika mfululizo wa mechi za lala salama za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Mlandege ilikumbana na kipigo hicho cha saba kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Mao A, huku Maafande…

Read More

Coastal Union, JKT Tanzania mechi ya nafasi

BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Coastal Union dhidi ya Kagera ugenini, leo Mei 25 itakuwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga kuikaribisha JKT Tanzania. JKT Tanzania Mchezo huo utakaozikutanisha timu hizo ikiwa ni mzunguko wa pili baada ya awali Coastal kuondoka na pointi tatu dhidi ya wanajeshi wa JKT. Coastal ipo nafasi…

Read More

Geita Gold, Singida ni vita ya kubaki Ligi Kuu

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Geita Gold na Singida Fountain Gate utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida utakuwa ni vita ya kupambana kubaki katika ligi na kwa yeyote atakayeteleza atajiweka pabaya katika janga la kushuka daraja ikiwamo kucheza mchujo (play-off). Kikosi cha Singida Fountain Gate Timu hizo ambazo zimewahi kukutana mara…

Read More

Heineken yashiriki mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Heineken Tanzania kwa kushirikiana Lead Foundation wameanza mkakakati wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira na kuoambana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuoanda miti ili kurejesha misitu mkoani Dodoma. Lengo la ushirikiano huo ni kufanya mipango endelevu ya kurejesha misitu iliyoharibiwa na kulinda mazingira. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni,…

Read More

Heinken yanunua kampuni za Distell na Namibia Breweries

Na Mwandishi wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Heinken imetangaza kununua kampuni ya Distell Group Holdings(‘Distell’) na ile ya Namibia Breweries (NBL) ambapo ununuzi huo unafikia zaidi ya Euro Bilioni 1 katika mapato halisi. Pia, ununuzi huo umefikia Euro milioni 150 katika faida ya uendeshaji wa nyayo zao za Afrika ambapo utachangia kwa kiasi kikubwa ukuaji…

Read More