
Marekani, Kenya kuimarisha ushirikiano wa biashara, uchumi – DW – 25.05.2024
Rais wa Kenya William Ruto alikuwa Washington kwa ziara ya Kiserikali wakati Ikulu ya Marekani ilipoahidi ushirikiano mpya kuhusu teknolojia, usalama na msamaha wa madeni kwa demokrasia hiyo ya Afrika Mashariki. “Wawekezaji wanapenda kile wanachokiona nchini Kenya,” Ruto alisema, akiwavutia viongozi wa biashara kwenye hafla, na kuahidi kurahisisha ufanyaji biashara. Waziri wa Biashara wa Marekani…