
Katwila, Mwangata wapewa ‘thank you’ Mtibwa
MABOSI wa timu ya Mtibwa Sugar umewapiga chini, Kocha mkuu wa timu hiyo, Zuberi Katwila pamoja na wasaidizi wawili, Kocha wa Makipa, Patrick Mwangata na Meneja, Henry Joseph kutokana baada ya timu na mwenendo mbaya katika michezo ya Ligi kuu Bara ikiwa inaburuza mkia kwa sasa. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Mtibwa kimesema, Bodi…