
Kigogo TFF amaliza utata ishu ya Inonga
SAA chache tangu beki wa kati wa Simba, Henock Inonga kufunguka kwamba mkataba alionao na klabu hiyo unamalizika mwishoni mwa msimu huu, huku mabosi wa Msimbazi wakimkomalia kwamba bado ni mali yao hadi mwakani, lakini kigogo mmoja wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameamua kumaliza utata wa jambo hilo. Inonga aliyesajiliwa na Simba misimu mitatu…