
Maujanja ya Yanga yanavyoitesa Simba
SIMBA SC inapambana kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Simba imeukosa ubingwa wa ligi hiyo kwa msimu wa tatu mfululizo. Simba imeishia tena robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba imeishia hatua ya 16 bora katika Kombe la Shirikisho (FA). Mafanikio ya Simba hadi sasa kwa msimu…