Mahakama ya ICJ yatazamiwa kutoa uamuzi kuhusu vita vya Gaza – DW – 24.05.2024
Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ inatazamiwa hivi leo kutoa uamuzi juu ya ombi linaloitaka Israel kusitisha mashambulizi yake ya kijeshi huko Gaza kwa tuhuma za “mauaji ya kimbari”. ICJ, ambayo maamuzi yake huwa ni kisheria zaidi lakini yanayokosa mifumo ya utekelezaji wa moja kwa moja, haikuamuru kusitishwa kwa mapigano katika uamuzi wake…