Admin

14 kuvaana ubunge Kwahani, Chadema, ACT Wazalendo wakisusa

JUMLA ya wagombea 14 kutoka vyama vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar huku vyama vikuu vya upinzani Chadema na ACT Wazalendo vikikacha uchaguzi huo. Anaripoti Mwandishi wetu, Zanzibar … (endelea). Hatua hiyo imekuja baada ya vyama hivyo kuendeleza msimamo…

Read More

KIMENYA: Miaka 11 Prisons, mafanikio bila majuto

MAISHA ya wanasoka wengi yana historia ndefu. Wapo wanaoanza kwenye akademi za soka, wanaojikuta wakianza timu za mtaani na wanaoanzia shule na kutokana na vipaji vyao wanaibuka na kuwa nyota wakubwa. Hata hivyo, wengi wanasema vipaji vyao ni tangu utotoni. Ni kweli, vipaji vingi huonekana tangu utotoni na kinapoendelezwa ndio kinakwenda kubadilisha maisha ya mchezaji…

Read More

Cassie avunja ukimya baada ya kutolewa kwa video inayoonyesha kushambuliwa na P Diddy hotelini

Cassie Ventura azungumza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kutolewa kwa video kutoka 2016 ikimuonyesha mpenzi wake wa wakati huo Sean “Diddy” Combs akimshambulia ndani ya hoteli. “Asante kwa upendo na usaidizi wote kutoka kwa familia yangu, marafiki, wageni na wale ambao bado sijakutana nao,” Ventura aliandika kwenye Instagram Alhamisi. “Kumiminika kwa upendo kumeunda nafasi…

Read More

Wabunge wacharuka kukatika kwa umeme

TATIZO la kukatika kwa umeme kila mara katika maeneo mbalimbali ya nchi limewaamsha wabunge ambao kwa nyakati tofauti wameibana Serikali bungeni na kuitaka kueleza mikakati ya kumaliza changamoto hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamejiri baada ya Mbunge wa Kilombero Abubakar Asenga (CCM) katika swali lake la msingi kuitaka Serikali ieleze lini itamaliza mgao…

Read More

Motsepe atua Zanzibar kushuhudia fainali ASFC

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Patrice Motsepe ametua Zanzibar leo kushuhudia fainali za mashindano ya African Schools Football Championship Kwenye Uwanja wa Amaan leo. Motsepe ambaye kwa mara ya mwisho alitua hapa nchini mwaka jana kwenye ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League kati ya Simba na Al Ahly amepokelewa na mwenyeji…

Read More