
MBUNGE AIPONGEZA TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO BUNGENI KWA KUGAWA VIATU KWA WANAFUNZI
Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Viti MAALUM Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Esther Maleko ameipongeza Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa mchango wao mkubwa wa kusaidia jamii kwa kugawa viatu kwa wanafunzi kupitia Kampeni Samia Nivishe Kiatu. Amesema kupitia Kampeni hiyo ya Samia Nivishe Kiatu imefanya wanafunzi au Wazazi wasiokuwa na uwezo wa kununua viatu…