
Mwanamke wa Nepal avunja rekodi ya kupanda kwa kasi zaidi mlima Everest
Mwanamke aliye fahamika kwa jina la Phunjo Lama wa Nepal alivunja rekodi siku ya Alhamisi ya kupanda kwa kasi zaidi mlima mrefu zaidi duniani Everest kwa muda wa saa 14 na dakika 31. Wapandaji kwa kawaida huchukua siku kufika kilele cha mlima huo wa mita 8,849 (futi 29,000), wakitumia usiku kwenye kambi zake tofauti kupumzika…