
Wafanyabiashara Shaoyang kushirikiana na wenzao Tanzania kibiashara
Dar es Salaam. Jumuiya ya wafanyabiashara katika Manispaa ya Shaoyang nchini China, imesema inalenga kushirikiana na wenzao wa Tanzania ili kukuza uhusiano uliopo kibiashara baina ya nchi hizo. Kadhalika, imedokeza mpango wa kuanzisha ghala la bidhaa zake nchini, litakalotumika kupokea bidhaa za mitambo na umeme kutoka China. Hayo yameelezwa leo Alhamisi, Mei 23, 2024 na…