Admin

Simulizi ya mafanilio, changamoto za wanawake wauza ndizi mtaani

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Biashara hiyo imewapa mafanikio kama vile kujenga nyumba, kusomesha watoto, kusaidia familia zao mahitaji muhimu ya kila siku huku wakijisikia furaha kuifanya kama ajira inayoendesha…

Read More

Saido atumia siku 150 kumpindua Baleke Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametumia siku 150 kumpindua aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Jean Baleke katika ufungaji wa mabao ndani ya timu hiyo baada ya kufunga mawili katika ushindi wa 4-1, dhidi ya Geita Gold. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jana, Saido alifunga…

Read More

Basi la Takbir lapata ajali Singida

Singida. Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita limepata ajali na kujeruhi watu 18. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Mei 23, 2024 eneo la Manga lililopo Wilaya ya Singida mkoani Singida. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Amon Kakwale amezungumza na Mwananchi leo kwa njia ya simu na kuthibitisha…

Read More

Barrick yapongezwa kwa kutekeleza sera ya Local content kwa vitendo na kunufaisha Watanzania.

    Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido akisalimiana na Waziri wa Madini, Antony Mavunde alipotembelea banda la Barrick akiongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali wa Serikali. Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde, ameipongea kampuni ya dhahabu ya Barrick nchini kwa kutekeleza kwa vitendo sera ya ushirikishaji watanzania na kuwanufaisha kupitia mnyororo wa…

Read More

Ki, Fei wairudia bato ya Mayele na Mpole

BATO ya ufungaji wa mabao ya Ligi Kuu Bara, baina ya viungo Stephane Aziz Ki wa Yanga na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC, inaweza ikajirudia ilivyokuwa katika  msimu wa 2021/22 kati ya  George Mpole na Fiston Mayele anayeichezea Pyramids ya Misri kwa sasa. Katika msimu wa 2021/22, Mayele akiwa Yanga na Mpole alikuwa…

Read More

Iran inajiandaa kumzika aliyekuwa rais, waziri wa mambo ya nje na wengine waliofariki katika ajali ya helikopta

Iran siku ya Alhamisi inajiandaa kumpumzisha aliyekuwa rais wake katika eneo takatifu zaidi kwa Waislamu wa Kishia katika Jamhuri ya Kiislamu, ikiwa ni ishara ya mwisho ya heshima kwa mfuasi wa kiongozi mkuu wa Iran aliyefariki katika ajali ya helikopta mapema wiki hii. Mazishi ya Rais Ebrahim Raisi katika Madhabahu ya Imam Reza huko Mashhad…

Read More

Rais wa Kenya atembelea Ikulu ya Marekani katika ziara ya kwanza ya kiserikali barani Afrika baada ya miaka 16

Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifungua ziara ya kwanza ya kiserikali mjini Washington na kiongozi wa Afrika katika zaidi ya miaka 15 huku Rais Joe Biden akijaribu kukabiliana na upepo wa kisiasa wa kijiografia katika bara zima. Biden alimkaribisha mwenzake wa Kenya katika Ikulu ya White House na kisha akaungana naye kukutana na viongozi…

Read More

PPAA mguu sawa kutumia kanuni za rufaa Julai 2024

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia tarehe 1 Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yalibainishwa jana Jumatano na Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando Jijini Dodoma wakati wa kikao kazi cha kupokea maoni ya uandaaji wa Kanuni…

Read More