BoT yafichua uimara wa uchumi kipindi cha uchaguzi
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itaendelea kuboresha hatua za kudhibiti mfumuko wa bei na kulinda thamani ya Shilingi kuhakikisha uchumi utaendelea kuwa imara licha ya nchi kuwa kwenye uchaguzi. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba, akizungumza na gazeti dada la The Citizen, amesema benki hiyo itahakikisha mzunguko na thamani ya fedha vinabaki…