Admin

Sh3.1 trilioni zatumika kuagiza bidhaa za sekta ya madini

Arusha. Kampuni zinazoendesha migodi ya madini hapa nchini zimefanya ununuzi wa zaidi ya Sh3.1 trilioni mwaka uliopita baada ya kuagiza nje ya nchi bidhaa mbalimbali. Kutokana na ununuzi huo, Waziri wa Madini, Antony Mavunde ameagiza Tume ya Madini nchini kumpelekea orodha ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya nchi. Mavunde ametoa maagizo hayo leo Jumatano Mei…

Read More

Saa saba za Boka, Yanga mezani bila matumaini

DILI la Yanga na beki Chadrack Boka wa FC Lupopo limeingia ugumu baada ya pande zote mbili kukaa mezani kwa saa saba bila kufikia muafaka. Mwanaspoti limejiridhisha kwamba bosi wa nyota huyo, Jacques Kyabula Katwe alitua Dar es wikiendi iliyopita kwa ndege binafsi pamoja na ishu zake binafsi, lakini pia alikuja kukamilisha dili hilo. Lakini…

Read More

Wafugaji, wakulima kupata bima | Mwananchi

Dar es Salaam. Wakati mchango wa sekta ya mifugo katika Pato la Taifa ukishuka kutoka asilimia saba mwaka 2021 hadi asilimia 6.7 mwaka 2022, Kampuni ya Bima ya CRDB na ACRE Africa zimesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kwa ajili ya kuikuza sekta hiyo. Takwimu za kushuka kwa mchango wa sekta hiyo, zimetolewa katika hotuba za…

Read More

ELIMU YA BIMA YATOLEWA KWA TAKUKURU KANDA YA ZIWA

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania kupitia Kanda ya Ziwa imetoa elimu ya bima kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mwanza ambapo jumla ya watumishi wapatao 26 wameshiriki mafunzo hayo. Mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo Majukumu ya TIRA, Dhana ya Bima, Bima za Magari, Taratibu za madai, Umuhimu wa kuwa wakala wa…

Read More

Chongolo aja na mbinu mpya ujenzi vyoo bora kwa kaya

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amesema anaanzisha mashindano ya ujenzi wa choo bora wilayani Momba na kaya itakayoibuka na ushindi itajipatia mifuko mitatu ya mbolea. Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku chache tangu Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk Boniface Kasululu kufanya ukaguzi wa vyoo katika kijiji cha Mkutano wilayani Momba na…

Read More

Adam afunguka kilichomng’oa Mashujaa | Mwanaspoti

MUDA mchache baada ya uongozi wa Mashujaa FC kuweka bayana kuachana na kinara wa mabao wa timu hiyo, Adam Adam  mchezaji huyo amevunja ukimya na kufunguka kilichomng’oa. Mshambuliaji huyo mwenye mabao saba katika Ligi Kuu ambaye mkataba alionao na klabu hiyo unaisha mwisho wa msimu huu, ameliambia Mwanaspoti  ameachana na timu hiyo baada ya kuomba…

Read More