
PPAA kuanza kutumia kanuni za rufani Julai 2024
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia Julai 01, 2024. Hayo yalibainishwa na Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando Jijini Dodoma wakati wa kikao kazi cha kupokea maoni ya uandaaji wa Kanuni za Rufaa za Ununuzi…