
Benki ya NMB yatoa msaada wa pikipiki 20 zenye thamani ya shilingi milioni 65 kwa mkoa wa Arusha, yajizatiti kuendeleza sekta ya utalii
. Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 65 zitakazosaidia kuimarisha ulinzi mkoani Arusha. Mchango huo ambao umetolewa kwa Jeshi la Polisi mkoani humo unaendana na mpango mkakati wa benki hiyo wa kuendeleza sekta ya utalii unaolenga kuimarisha mifumo endelevu ya ikolojia ya utalii….