
Vikosi ya Ukraine vyapiga hatua dhidi ya adui – DW – 22.05.2024
Katika hotuba yake kwa taifa Jumanne jioni, Zelensky amesema vikosi vya nchi hiyo katika eneo la Kharkiv,vinaendelea kupata ufanisi dhidi ya adui lakini akaonya hali upande wa mashariki karibu na miji ya Pokrovsk, Kramatorsk na Kurakhove imesalia kuwa “ngumu sana”. Zelensky ameongeza kusema mapigano zaidi yanaendelea katika eneo hilo. Soma pia:Zelensky anatarajia Urusi itaimarisha mashambulizi…