
ELIMU YA FEDHA YAFIKA MKOA WA KAGERA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Erasto Sima, akipokea vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za elimu ya fedha ikiwemo uwekaji akiba, uwekezaji, kupanga kwa ajili ya uzeeni, usimamizi binafsi wa fedha na mikopo kutoka kwa Afisa Usimamizi wa Fedha Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, baada ya kumalizika…